Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Yule Mkongwe na gwiji wa freva za bongo za ukweli inspector haron yu wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Mkongwe na gwiji wa freva za bongo za ukweli inspector haron yu wapi?
Kuna kipindi nilisikia alipiga shoo ya buku mbili....mbili.... nikashtuka sana na kusikitika....big up...kwa bongo fleva waliotusua kiuchumi D platinumz na Ali Kiba....
Ana nyimbo mbili mpya moja amemdiss Roma mkatoliki,na nyingine nasikia tuu ngaa ngaa ngaa ngii ngii ngii yaan vyuma vimekaza,nadhani ni nyimbo za kujifanya kimbele mbele kwa sisiemYule Mkongwe na gwiji wa freva za bongo za ukweli inspector haron yu wapi?
Si asavali buku bee kuliko 'kiingilio bia'[emoji13]