Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dogo nani mwanangu??taratibu dogo, utajibu vibaya baba zako
Wengine kule tunasoma tu ku comment tuna comment huku.Mambo ya mange insta unauliza jamii forums..
Kawaulize wa insta huko huko
umechezea block mzee..Kila nikijaribu inaniletea majibu ukurasa haupatikani, vp kapigwa pini nini? au ni kwangu tu
Duh, unavyopenda udaku wewe hatari.Ipo live bwana anamchamba miss Tanzania 2006 alikosa viza ya kwenda 🇺🇸 akalia ubalozini kama mtoto.
umeshakula block
kuna baba mshabiki wa binti asiye na nidhamu?taratibu dogo, utajibu vibaya baba zako
Unaijua nidham ww shame on youkuna baba mshabiki wa binti asiye na nidhamu?
umeshakula block
Jamaa kalamba block
Basi atakuwa anamzingua sana Mange kwenye comments ndio maana kala BULOKU.umechezea block mzee..