Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Na hiyo ndiyo dawa kule ni kusoma tu wameandikaje, maoni na comments jf la sivyo unaweza kujikuta umechexea block za mastaa woteWengine kule tunasoma tu ku comment tuna comment huku.
Dogo tafuta pesa badala ya kuhangaika na vitu vya kijinga huko Insta,unajiita baba huku unahangaika kufuatilia sijui habari za wanawake kuchambana huko insta!! kumkosa huyo sijui Mange umekuja spidi huku kuuliza utafikiri umekuja kuomba ushauri baada ya kupata hasara au faida kwenye biashara zako? jitafakari,hayo mambo sijui ya ubuyu waachie wanawake.Kila nikijaribu inaniletea majibu ukurasa haupatikani, vp kapigwa pini nini? au ni kwangu tu
Hapo kwenye red,Wengine kule tunasoma tu ku comment tuna comment huku.
Agiza supu kwa mama muuza, nitakuja kulipaDogo tafuta pesa badala ya kuhangaika na vitu vya kijinga huko Insta,unajiita baba huku unahangaika kufuatilia sijui habari za wanawake kuchambana huko insta!! kumkosa huyo sijui Mange umekuja spidi huku kuuliza utafikiri umekuja kuomba ushauri baada ya kupata hasara au faida kwenye biashara zako? jitafakari,hayo mambo sijui ya ubuyu waachie wanawake.
Ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine kule tunasoma tu ku comment tuna comment huku.
Yaani unajiita baba, halafu unakimbilia mbio mbio kuulizia habari Mange huko Ist kweli?taratibu dogo, utajibu vibaya baba zako
Usie mjua ni kama usiku wa giza, nikitaka bia najua pakwenda, nikitaka biashara zangu najua pakwenda, nikitaka papuchi najua pakwenda nikitaka kumuomba Mungu najua pa kwenda, so tusipangiane maisha dogo, by the way umefuata nini huku jukwaaDogo tafuta pesa badala ya kuhangaika na vitu vya kijinga huko Insta,unajiita baba huku unahangaika kufuatilia sijui habari za wanawake kuchambana huko insta!! kumkosa huyo sijui Mange umekuja spidi huku kuuliza utafikiri umekuja kuomba ushauri baada ya kupata hasara au faida kwenye biashara zako? jitafakari,hayo mambo sijui ya ubuyu waachie wanawake.
Bora uwaambie mkuu kuna watu wanafiki humu kuliko kawaidaUsie mjua ni kama usiku wa giza, nikitaka bia najua pakwenda, nikitaka biashara zangu najua pakwenda, nikitaka papuchi najua pakwenda nikitaka kumuomba Mungu najua pa kwenda, so tusipangiane maisha dogo, by the way umefuata nini huku jukwaa
kama hili? kashinde jukwaa la biashara basi ukuze biashara zako.......... Maisha sio magumu hivyo dogo chill and relax
WasiojulikanaKila nikijaribu inaniletea majibu ukurasa haupatikani, vp kapigwa pini nini? au ni kwangu tu
Kwa uandishi huu,unaonekana ni kitoto cha shule ambacho kipo likizo kwa Mama.Usie mjua ni kama usiku wa giza, nikitaka bia najua pakwenda, nikitaka biashara zangu najua pakwenda, nikitaka papuchi najua pakwenda nikitaka kumuomba Mungu najua pa kwenda, so tusipangiane maisha dogo, by the way umefuata nini huku jukwaa
kama hili? kashinde jukwaa la biashara basi ukuze biashara zako.......... Maisha sio magumu hivyo dogo chill and relax
Nimewahi ku-comment kule kila rafiki yangu aliona, hadi bibi kijijini aliona pia. Kule si pa ku-comment labda na ID fake.Wengine kule tunasoma tu ku comment tuna comment huku.
Unaona sasa jinsi ulivyokua na akili ya kuvukia barabara tu!Angalia kwanza join date yangu dogo, kakojoe ulale