xpl0it
Senior Member
- Feb 21, 2014
- 124
- 88
- Thread starter
-
- #41
Kwanza siku hizi system zimetengenezwa zikikuforce uchanganye characters na numbers au uppercases na small cases.
Man that thing cannot work
Nakataa, hiyo sio hata secured system kwa taarifa yako. Kwasababu kuharden security mechanisms sio ndo system yako kuwa secured. It may turn out kuwa ndo most vulnerable system ever coded.
Pia, kuweka restrictions kama hizo haziwezi kuzuia bruteforcing completely, mfano password kama Andy111 haiwezi kuwa hata strong kiasi hicho unachofikiria cause mtu anaweza kuwa na wordlist yake yenye combinations ya characters zake na namba mfano ukiangalia wengi hutumia passwords kama hizi xxx123 au xxxx123 au xxx1234 na nyingi nyinginezo zenye kufanana na hizo. Yani hutumia common passwords kama hizo, ambazo humrahisishia kazi Hacker. Vile vile haina good user experience, hivo sio users wengi watapenda kujiunga na system yako hiyo.
Hivyo, ni sawa itasaidia kwa kiasi flani lakini kwa sababu wabongo wengi hutumia common passwords, so tatizo linakuja palepale.