Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
hivi mkuu unatufanya sisi watoto wadogo au? maana sikuelewi, hebu kwenye hio thread nionyeshe njia tofauti na brute force alioitaja. maana nimequote hadi thread usome unioneshe hunioneshi una ng'ang'ania tu kataja.Sio kweli kuwa kataja bruteforce tu. Ukisema kitu fulani hakiwezekani, onyesha ni kivipi hakiwezekani.
Kwa nini ameweka no 1 na no 3. Na umeona kuwa ni mjinga kiasi kwamba kichwani kwake hawezi kufigure out vitu vingine?yap
amezungumzia brute force tu sijaona hicho chengine unachokisema na thread ipo hapo juu na nimeiquote kama ya hapo juu huwezi isoma.
nambie hicho chengine umekiona wapi
hivi mkuu unatufanya sisi watoto wadogo au? maana sikuelewi, hebu kwenye hio thread nionyeshe njia tofauti na brute force alioitaja. maana nimequote hadi thread usome unioneshe hunioneshi una ng'ang'ania tu kataja.
1. amesema get kali linux hio ni operating system au distro ya linux kwa lugha nyengine.Kwa nini ameweka no 1 na no 3. Na umeona kuwa ni mjinga kiasi kwamba kichwani kwake hawezi kufigure out vitu vingine?
nimeshaeleza na wadau wengi wameeleza hapa huwezi hack sababu.Ok. Hebu tueleze how that cannot work.
nimeshaeleza na wadau wengi wameeleza hapa huwezi hack sababu.
1. hizi site za kisasa kama insta ukilogin.mara nyingi wanafungia account, hivyo akianza tu kubrute ujue inafungiwa.
2. akasema anachange ip, site za kisasa ukilogin na kifaa chengine toka eneo tofauti mfano id ni ya Tanzania mtu wa usa akitaka ku login na kifaa tofauti basi wanaifungia,
3. kuhack 256bit password hata utumie ipv4 zote duniani kila moja na password yake huwezi guess sababu kuna ip chache kuliko hizo guess za password,
bruteforce ndio njia rahisi na basic ya kuhack password, ingekuwa inafanya kazi kusingekuwa na id ya mtu hata mmoja duniani iwe salama ingekuwa tunajiamulia tu leo namhack fulani kesho fulani, ni rahisi kiasi kwamba mtoto wa darasa la nne alofeli ukikaa nae saa moja kumfundisha anafanya.
Kwa nini Kali Linux?1. amesema get kali linux hio ni operating system au distro ya linux kwa lugha nyengine.
2. get instabrute hii ndio program itakayotumika
3. hack id hapa ndio kitendo.
hivyo hizo 1, 2, 3 sio njia tatu za kuhack bali ni procedure njia ya kuhack ni moja na sio nyingi kama unavyosema wewe.
mimi sijui, muulize mtoa mada yeye ndie alieiletaKwa nini Kali Linux?
Wewe neno hack unalielewaje?
mbona unataka kuforce hizo skils nyengine? watu wanazungumzia brute force hapa,Ni hayo tu? 1. Kwa hiyo hacker anakuwa hajui kuwa ukilogin mara nyingi account inafungiwa? Anaenda tu kubruteforce? 2. Kwa hiyo hacker anakuwa hajui kuwa ukilogin kwa device tofauti, au location tofauti au ip tofauti account inafungiwa? Mfano mzuri Google au facebook hutoa notification kuwa kuna mtu amelogin kwa kutumia location/device tofauti, hayo yote hacker hajui?
3. Huwezi guess? Unajua kuwa mtu anaweza akaguess password hata kama ni complicated kiasi gani na hatusemi huwezi kuguess isipokuwa tunasema probability ya kupatia labda ni ndogo?
Mtu anayetegemea bruteforce bila kuchanganya na skills zingine ni hacker? Na tunaelewana kuwa brute force sio a single algorithm bali ni general approach?
Hack au hacker maana yake ni nini?mbona unataka kuforce hizo skils nyengine? watu wanazungumzia brute force hapa,
Hacker - WikipediaHack au hacker maana yake ni nini?
a "security hacker", someone who, with their technical knowledge, uses bugs or exploits to break into computer systems.
a "security hacker", someone who, with their technical knowledge, uses bugs or exploits to break into computer systems.
Nimechukua tu hicho kipengele. Unakataaje skills zingine wakati hicho kipengele kinachoongelea maana ya hacker kinataja technical knowledge?
Hapa tunaongelea bruteforce. Nimeandika mara nyingi kuwa mtu hawezi kuhack instagram kwa kubruteforce peke yake, lazima acombine na skills zingine, wakati anajua akifanya attempts kadhaa account itafungiwa, achilia mbali kulogin kwa kutumia device tofauti au ip tofauti na ile iliyozoeleka au location in general. Kwa hiyo ni obvious lazima abaypass kwanza some security measures, kwa nini wewe uinsist au uamini kuwa anaenda kubruteforce tu wakati labda baada ya attempts tuseme tatu account inafungiwa?dah sijui hata unachokiongea mkuu na sijui hata nikujibu nini, kwa mara ya mwisho na mi naongea,
hii ni mada ya brute force, hakuna alokataa kwamba njia nyengine za kuhack hazipo,
mleta mada angekuja na zero day vulnerability, phishing, sql injection, dns poisoning etc watu wasingemkatalia ila amekuja na brute force kitu ambacho ni rahisi kujilinda nacho na hakifanyi kazi kwenye hizo site kubwa.
nimeshaeleza na wadau wengi wameeleza hapa huwezi hack sababu.
1. hizi site za kisasa kama insta ukilogin.mara nyingi wanafungia account, hivyo akianza tu kubrute ujue inafungiwa.
2. akasema anachange ip, site za kisasa ukilogin na kifaa chengine toka eneo tofauti mfano id ni ya Tanzania mtu wa usa akitaka ku login na kifaa tofauti basi wanaifungia,
3. kuhack 256bit password hata utumie ipv4 zote duniani kila moja na password yake huwezi guess sababu kuna ip chache kuliko hizo guess za password,
bruteforce ndio njia rahisi na basic ya kuhack password, ingekuwa inafanya kazi kusingekuwa na id ya mtu hata mmoja duniani iwe salama ingekuwa tunajiamulia tu leo namhack fulani kesho fulani, ni rahisi kiasi kwamba mtoto wa darasa la nne alofeli ukikaa nae saa moja kumfundisha anafanya.
Sure bro! I guess you might be among of the underground hackers in TZ. Very few people have the idea of security in their minds in Tanzania, even for those renown developers.
Pia zaidi zaidi, wanatumia sana password list/wordlist zinazotumiwa mambele huku wakisahau kwamba, kila nchi inaaina za passwords ambazo wananchi wake hupenda kutumia, kulingana na lugha wanayotumia. Mfano unatumia wordlist ya kiingereza tupu kubrute-force user-accounts za TZ, huo ni uwaki.
Watanzania tukitaka tuadvance katika hili game la Cyber Security vizuri inabidi tuwe tayari kujifunza na bila kukata tamaa kupigika na practice zisizokuwa na mwisho.
By the way watu huwa mnaikuza sana Kali Linux kana kwamba ni dude la ajabu sana. Kali Linux ni distribution tu ya Debian kama Ubuntu et al. Tofauti yake iko outlined kwenye Kali Website na kwa mtaalamu wa Linux unajua hakuna kitu speacial:Again, kwa nini amechagua kutumia Kali Linux, hajachagua windows, Mac, au variants zingine za Linux kama CentOS, RedHat, Arch, Debian, Linux Mint, Ubuntu and so on? Chief-Mkwawa