InstaBrute - Instagram bruteforce exploit module.

Nafahamu hilo, na Security through obscurity is bad because it substitutes real security for secrecy in such a way that if someone learns the trick they compromise the system. Ndio maana, most Organizations hazirely tu kwa hiyo principle, watahitaji angalau a good layer of security to place hiyo security through obscurity on top of it.

Na vile vile utawezaje kusema (wewe kama nani? Instagram spokesman ama security engineer wao?) kuwa instagram haiwezi kuwa penetrated kwa brute, mimi imani yangu na ndo iko ivo kuwa hakuna system yoyote ambayo ni fully secured, as long as imetengenezwa na huyu huyu binadamu lazma inafaults na hata hizo mitigations hazishuka na malaika hivo nazo zina downsides zake na zaweza kuwa circumvented!

Anyway mada ishakuwa concluded apo juu ^^.

" "
 
Bado huelewi alichoandika. Wewe unang'ang'ania tu haiwezekani.
 
Wataishia kukupa links za blogs tu. Hakuna mtu kati ya hawa anayeweza kufanya scientific derivation kuthibitisha wanachosema.
 
kwa logic yako akitokea mkichaa akasema ana uwezo wa kutengeneza meli ndani ya sekunde 1 halafu mimi nikashindwa kuthibitisha kwamba hawezi ina maana ni kweli yule mkichaa anaweza tengeneza meli ndani ya sekunde 1?
 
So unadhani screenshot inaweza kuverify kwamba mtu amehack account ya mtu? Yaani na hapo unasema hupendi blah blah! Kweli screenshot ambayo inaweza hata kutengenezwa itakuwa ni ushahidi?
 
Does this relate na kutengeneza meli? How close are these two arguments?
 
So unadhani screenshot inaweza kuverify kwamba mtu amehack account ya mtu? Yaani na hapo unasema hupendi blah blah! Kweli screenshot ambayo inaweza hata kutengenezwa itakuwa ni ushahidi?

Engineers na security experts wa Instagram wenyewe nina uhakika hawawezi kukanusha au kukataa kuwa they can't be hacked, kwa njia yoyote ile, kama ambavyo wewe unang'ang'ana.
 
nimekuuliza swali unanijibu swali? nasubiria jibu
Nimekuuliza unadhani hoja tunayojadili hapa ina ufanano wowote au ulinganifu na kutengeneza meli kwa sekunde moja? Ni logic gani inayokuaminisha kuwa hoja tunayojadili hapa angalau inakaribia na kutengeneza meli kwa sekunde?
 
Sio kweli kuwa kataja bruteforce tu. Ukisema kitu fulani hakiwezekani, onyesha ni kivipi hakiwezekani.

Labda ndugu zangu niwasaidie kidogoo ni kwamba unapozungumzia brute force mean kwamba ni kama kitu ambachoo umekitengeneza na kubun namb heruf mbali mbal kwa ajil ya kuingia kwenye acc ya mtu mfano instagram bilaa rizaa yakee....

Kunaa njia mbali mbal ya kuweza kupata password za mtu kupitia mitandao ya kijamii ilaa Leo ngojaa niwakumbushe kituu kuhusiana ma
[HASHTAG]#BRUTEFORCE[/HASHTAG] MEAN ATTACK FORCES OF SOCIAL FISHING TOOL LIKE FB IINSTA TWITTER AND N.K
Kwenyee suala ya bruteforce now imekuwa ngumu kuweza Ku access taarifa ya MTU kupitia Instagram
Kwan huwa wanaweza kutumia password zaid ya million 10 kuotea taarifa ya MTU hivyoo uwezo Wa kuingia katika acc ya MTU ni ngumu kwa 100℅
 
Wewe unafanya makusudi kupotosha kwa kuinsist just a bruteforce. Nikuulize, ukiambiwa ukaue jambazi kwa kutumia bunduki, maarifa pekee utakayokuwa unatumia ni kufyatua risasi? Kama utahitaji skills zingine in combination na kutumia bunduki ni zipi?

Labda ndugu zangu niwasaidie kidogoo ni kwamba unapozungumzia brute force mean kwamba ni kama kitu ambachoo umekitengeneza na kubun namb heruf mbali mbal kwa ajil ya kuingia kwenye acc ya mtu mfano instagram bilaa rizaa yakee....

Kunaa njia mbali mbal ya kuweza kupata password za mtu kupitia mitandao ya kijamii ilaa Leo ngojaa niwakumbushe kituu kuhusiana ma
[HASHTAG]#BRUTEFORCE[/HASHTAG] MEAN ATTACK FORCES OF SOCIAL FISHING TOOL LIKE FB IINSTA TWITTER AND N.K
Kwenyee suala ya bruteforce now imekuwa ngumu kuweza Ku access taarifa ya MTU kupitia Instagram
Kwan huwa wanaweza kutumia password zaid ya million 10 kuotea taarifa ya MTU hivyoo uwezo Wa kuingia katika acc ya MTU ni ngumu kwa 100℅
 
Labda ndugu zangu niwasaidie kidogoo ni kwamba unapozungumzia brute force mean kwamba ni kama kitu ambachoo umekitengeneza na kubun namb heruf mbali mbal kwa ajil ya kuingia kwenye acc ya mtu mfano instagram bilaa rizaa yakee....

Kunaa njia mbali mbal ya kuweza kupata password za mtu kupitia mitandao ya kijamii ilaa Leo ngojaa niwakumbushe kituu kuhusiana ma
[HASHTAG]#BRUTEFORCE[/HASHTAG] MEAN ATTACK FORCES OF SOCIAL FISHING TOOL LIKE FB IINSTA TWITTER AND N.K
Kwenyee suala ya bruteforce now imekuwa ngumu kuweza Ku access taarifa ya MTU kupitia Instagram
Kwan huwa wanaweza kutumia password zaid ya million 10 kuotea taarifa ya MTU hivyoo uwezo Wa kuingia katika acc ya MTU ni ngumu kwa 100℅
 
Kama password yangu ni character + symbols+ singns+ number's jumla znafika 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…