Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hamna hiyo sehemu mkuu na watu wengi wanalamlika comment hazionekaniSimu yako ina filter,hii ipo kwenye mifumo ya instagram na Facebook.fungua kwenye comment utakuta neno most relevant,bonyeza pale weka view all comments au weka Newest comment
Ndio nashangaaMimi kwangu zinasoma mwisho 20 tu hata kama zipo elf 2
Kuna mtu ameshika button huko nyuma ya pazia, WhatsApp ipo under surveillance pia pamoja na Facebook na zote zipo under Meta kwa hio jamaa wameona wakateke huko kwanzaNdio nashangaa
AiseeKuna mtu ameshika button huko nyuma ya pazia, WhatsApp ipo under surveillance pia pamoja na Facebook na zote zipo under Meta kwa hio jamaa wameona wakateke huko kwanza
YesAisee