BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Sehemu hii itakuwa inawezesha mtumiaji ku-repost post ambazo amezipenda. Mfano ukiona post ambayo unatamani kuonyesha followers wako, unaweza ku-report na itakaa katika profile yako upande mpya wa posts ambazo ume-repost.
Hii inafanana kabisa na “Retweet” ya Twitter.
Ku-share post ambayo sio yako na unatamani follower wako waicheck, sio kitu kipya. Kwa sasa watumiaji wengi wanatumia njia ya Instagram Story katika ku-share post ambayo wanataka followers waicheck.
Instagram itaweka option ya ku-report Feeds na followers wako wataweza kuona post ambayo ume-repost. Pia kwenye profile, itakwepo tab mpya ya posts ambazo umewahi ku-repost na zitajipanga kuendana na muda wa ku-repost.
CREDIT @itsapolloo