Kwa sasa Instagram haina sehemu ya kurekebisha (edit) ujumbe katika sehemu ya DM. Endapo kama ukituma ujumbe, utaona hakuna sehemu ya ku-edit, sehemu ambayo ipo ni "unsend" ambayo inafuta ujumbe ambao umekosea kuutuma.
Watumiaji wa Instagram wanalazimika kufuta message ambayo wameikosea na kuandika upya au kuandika ujumbe wa kurekebisha message ambayo imekosewa.
Kwa sasa Instagram haina sehemu ya kurekebisha (edit) ujumbe katika sehemu ya DM. Endapo kama ukituma ujumbe, utaona hakuna sehemu ya ku-edit, sehemu ambayo ipo ni "unsend" ambayo inafuta ujumbe ambao umekosea kuutuma.
Mabadiliko mapya yatawezesha sehemu ya ku-edit message ambayo mtumiaji amekosea kuituma.