Design Team ya instagram ime copy vitu vingine kutoka SnapChat
Founder wa instagram alipo ulizwa kuhusu hilo
Akasema ni just inspiration
Kama Snapchat walivyo copy Filters kutoka Instagram
Hizi App kubwa hazijali ku copy features zozote zinazo trend, kwa sababu wanaamini wana user base ya kutosha ambayo ita accept update yoyote inayokuja bila kuhamia kwa competitors
Ila inachekesha pale knock off inapo fail, lazima mta shut down App
Knock off nyingine ninayoona iki fail, ni Instagram reels na Youtube shorts zilivyo copy main features za Tiktok mpaka UI
Matokea yake, video za Tiktok ndio zimejaa instagram na Youtube shorts
Wanawalipa kweli designers wao?