Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawe kapambane na umbea wako....Ukichunguza kwa umakini utagundua @mcharuko_ na @carrymastory wanamtumia sana dai &zari ktk account zao siyo kwamba wanawachukia laa hasha wanaongeza attention ya followers yaani kwa kiswahili cha uswazi wanapambana na njaa
Hamna mkuu upo sawaeeh mkuu au nimekosea spelling
Hiyo page bado ipo kuna kipindi Lemutuz alileta taarifa hapa kwamba wamemtia nguvuni.
Ipo, anamwaga matusi kama kawaidaHiyo page bado ipo kuna kipindi Lemutuz alileta taarifa hapa kwamba wamemtia nguvuni.
-Ndumilakuwili-
JAMAA HUWA ANA MATUSI HUWA NACHEKA HADI BASI YAANI
Via vya uzazi kuvitaja kwake ni kawaidaJAMAA HUWA ANA MATUSI HUWA NACHEKA HADI BASI YAANI