Instagram kuna vituko, hizi account mbili zinamwandama sana Diamond &Zari

Ukichunguza kwa umakini utagundua @mcharuko_ na @carrymastory wanamtumia sana dai &zari ktk account zao siyo kwamba wanawachukia laa hasha wanaongeza attention ya followers yaani kwa kiswahili cha uswazi wanapambana na njaa
nawe kapambane na umbea wako....
 
Matangazo

Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha sasa hicho nacho ni cha kuanzishia Uzi?
Unataka tujadili nini sasa hapo?
Au ni account zako unazipigia promo kijanja funguka.
sasa huoni kuwa umechangia tayaru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…