isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Baada ya majaribio kadhaa sasa Facebook imeanzisha Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki na takribani mataifa 170. Instagram Lite inakuja kama mtoto anayefuata baada ya Facebook Lite.
Instagram Lite itachukua MB2 tu ya nafasi katika simu yako. Kupitia aplikesheni hii mpya utaweza kukomboa DATA kwa asilimia 75.
Kupitia Instagram Lite utaweza kutazama picha, video na kujibu meseji 'DMs'. Utaweza kupakia picha, video, reel's na kuongeza stories kwa kutumia kiwango DATA kidogo tu.
+ Source | https://tcrn.ch/30sMRp1