isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
VizuriNgoja niipakue
Vizuri sana! Kwa muda huo ilikuwa katika majaribio kwa baadhi ya watu, glad wewe ni mmoja wao. Sasa hivi inapatikana hata kule Rusumo ndani ndani.Nnayo karibia wiki ya 3 hii iko vizuri
Ila kwenye search history wameniangusha kidogo
Baadhi ya vitu vinapungua kwa upande wako ni nini?Nzuri ila kuna vitu vina miss