Instagram na Facebook zipo chini, watumiaji walalamika kushindwa kupost content zao
Wakuu,
Kama unahangaika kupost video/picha katika mtandao wa Instagram na ndugu yake Facebook usije ukatupa simu yako ukadhani imekuwa kimeo.
Watumiaji wa mitandao hiyo katika maeneo mbalimbali duniani wameripoti kupata changamoto wakijaribu kupost maudhui yao au hata kuweka comment kwenye mitandao hiyo.
Bora tupo na JamiiForums yetu, tunaendelea kubonga bila tabu yoyote.
Anyhu wakuuu, tupeane mialiko basi, weekend ndo hiyooooooooo imeanza 😌
Pia soma
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login
Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa