Instagram Stories zimeongezwa kufikia sekunde 60

Instagram Stories zimeongezwa kufikia sekunde 60

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Instagram imeongeza muda wa Stories kutoka sekunde 30 na sasa kufikia 60. Kwa sasa watumiaji wa iOS ndio wanaweza kutumia kipengele hiki cha sekunde 60 na hivi karibuni kuwafikia Android.

Hapo muda mwingine zitakuwa zinachosha.
Bora wangebaki na hizo sec 30
 
Hivi sisi Jamii forum hamna kinachoongezwa kwenye app cha kuleta manufaa.Kila mwaka iko hivi hivo local tu tech inaenda kasi badilikeni.Ku upload video jf kitu kidogo bado ni kipengele.
 
Hivi sisi Jamii forum hamna kinachoongezwa kwenye app cha kuleta manufaa.Kila mwaka iko hivi hivo local tu tech inaenda kasi badilikeni.Ku upload video jf kitu kidogo bado ni kipengele.
Nadhani hili ni suala la undeshaji na nini JamiiForums imejikita au inalenga. Maybe Maxence Melo inaweza kuwa na mipango ya mambo mengi zaidi.
 
Back
Top Bottom