INSTAGRAM Tanzania imeleta drama nyingi, celebrity wengi, madui wengi, vijiwe vingi vya umbea, utapeli na harakati

INSTAGRAM Tanzania imeleta drama nyingi, celebrity wengi, madui wengi, vijiwe vingi vya umbea, utapeli na harakati

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
nawaza tu bila instagram kuna watu wengi sana wangelala njaa.. wale wa page za udaku wanapata matangazo,

nawaza tu ? bila instaagram WCB na diamond wangekuwa maarufu kama walivyo leo ?

nawaza tu bila instagram dada mange harakati angefanyia wapi?

nawaza tu wachekeshaji kila dulivani, tabu mtingita, jay melody wangekuwa wanaishije?

nawaza tu kina bibie tunda na wenzake tungewajuaje?

nawaza tu bila instagram taifa lingekuwaje hasa mijini...


kuna mitandao mingi sana iliyokuja zama hizi za digital era... kuanzia facebook, whatsapp etc ila instagram imekuja na mabalaa mengi sana na drama nyingi sana na sana
 
Back
Top Bottom