The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wiki iliyopita mtandao wa kijamii wa Instagram ulitangaza kuanza kuficha idadi ya likes kwenye posts za watu mitandaoni ili kuondoa msukumo mkubwa na kufanya mtandao huo kuwa kijamii zaidi kuliko kuwa wa mashindano ya kupata likes.
Leo Instagram wataanza mpango huo kwa dunia nzima baada ya kuona umepokeleea vyema huko Marekani na baadhi nchi nyingine.
Leo Instagram wataanza mpango huo kwa dunia nzima baada ya kuona umepokeleea vyema huko Marekani na baadhi nchi nyingine.