Installation problem of utorrent n pc

fungi6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
287
Reaction score
266
bila shaka naisi tupo wengi ambao tumekumbwa na janga ili la window 10 updates yani kila niki download any app kwenye pc inakuja na icon ya website iliyo downlodia kama ile ya e ambayo ni explorer, naombeni msaada kwa wana jamvi wale ambao mnaujuzi mnipe mwongozo kidogo maaana am not good with this device japo I love them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…