N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 770 Reaction score 794 Apr 9, 2014 #1 Wana jamvi kama ilivyo ada hapa JF ni kisima cha fikra. Naomba kujuzwa kuhusu hii biashara kuwa Insurance Agent, wenye udhoefu naomba Experience zao kwenye hii biashara wadau.
Wana jamvi kama ilivyo ada hapa JF ni kisima cha fikra. Naomba kujuzwa kuhusu hii biashara kuwa Insurance Agent, wenye udhoefu naomba Experience zao kwenye hii biashara wadau.