SOFTWARE Insurance covers online

SOFTWARE Insurance covers online

Girland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2016
Posts
2,489
Reaction score
4,253
Kulingana na taarifa ya Mamlaka ya bima nchini (TIRA) Watoa Huduma walielekezwa kuanzia Tarehe 01.04.2021 Kutumia Stika za kielektroniki badala ya stika za kawaida zilizokuwa zikitumika awali. Karibu ujipatie bima kwa ajili ya Chombo Chako Cha Moto Kupitia Mfumo wa kisasa wa Stika Za Kielektroniki (E-Stickers).

JINSI UNAVYOFANYA KAZI
Kupitia mfumo wa sasa mtoa huduma wa bima (wakala,au dalali),ataingiza taarifa za mteja kupitia mfumo wa TIRA-MIS Ulioboreshwa,Baada ya hapo malipo yatafanyika na utakuwa umekatiwa bima yako.

MAHITAJI
1.KADI YA GARI (VEHICLE REGISTRATION CARD) Kwa ajili ya taarifa za gari
2.KITAMBULISHO CHA TAIFA AU PASI YA KUSAFIRIA(National ID OR PASSPORT) Kwa ajili ya taarifa za mteja.

Bima Zinazotolewa ni Pamoja na
A.MOTORS INSURANCE(BIMA ZA MAGARI) Kama Ifuatavyo-:

1.Motors Comprehensive Insurance Maarufu kama bima Kubwa.
2.Motors Third Party Insurance(TPO) Maarufu kama Bima ndogo.
3.Motors third Party Fire and thefty
(TPFT)
NOTE: GARI ZOTE ZITAPATIWA BIMA YAANI ZA BIASHARA ZA BINAFSI NA ZA ABIRIA (COMMERCIAL VEHICLES,PRIVATE VEHICLES,AND PASSENGER CARRYING VEHICLES (PSV).

Karibu tukuhudumie,Kwa swali lolote tafadhali uliza hapa Chini.
 
Naiona gap ya mteja kukatiwa bima bila kuona gari husika.

Napata ajali ndiyo nakata bima. BINGOOOOOOOOOOOOOO!
 
Naiona gap ya mteja kukatiwa bima bila kuona gari husika.

Napata ajali ndiyo nakata bima. BINGOOOOOOOOOOOOOO!
Katika Claims utataja siku ipi mkuu? Kuna Ripoti ya Vyombo Vya Usalama mwisho nikusihi usijaribu kufanya udanganyifu (Fraud) Karibu sana ukihitaji sasahivi inapatikana online.
 
Back
Top Bottom