Nilikuwa nataka kufahamu wakubwa hivi veta ni miezi gani huwa wanachukua wanafunzi wapya kwa mikoa mbalimbali hapa Tanzania.Naomba msaada kwa anayejua nataka niende nichukue baadhi ya maujuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.