Intake za veta ni mwezi gani kwa mikoa mbalimbali

Kasigila

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
84
Reaction score
18
Nilikuwa nataka kufahamu wakubwa hivi veta ni miezi gani huwa wanachukua wanafunzi wapya kwa mikoa mbalimbali hapa Tanzania.Naomba msaada kwa anayejua nataka niende nichukue baadhi ya maujuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…