eti inachukua muda gani kuitwa kwenye usahil kwa waloomba kazi na inachukua muda gan kuanza kazi, mana nimepata uzush kwamba kwa kaz zilizotoka juzi inaweza kukuchukua hata miaka miwili ndo usail then kazi.

ndugu zangu, ukiomba kazi potezea....ila usikae mbali na magazeti pamoja na Jamii forum, usifikirie kwani kupata na kukosa yote ni majibu..me ilikuwa nikiomba kazi napotezea, nakuja kupokea simu tu...hata sijui niliomba lini..so kuwa mvumilivu
mkuu unashangaa unapigiwa sim kuhudhuria intv unapata kaz kujua uliomba post gan, so ni vizur ukiomba kazi uweke kumbukumbu ili siku wakikuita usipate taabu.
Haina fomula mdau. Nilichosikia kwa baadhi ya wadau wanatarajia kufikia August watu wawe wameripoti kazini hivyo usaili tegemea mwezi wa 7. Ila kwa kuwa kazi ni nyngi na taasis mbalimbali basi nahisi mpaka septemba kitakuwa kimeeleweka.
Inaweza chukua hata miezi mitatu. Mie kuna kazi nliapply february 2012, hata nkasahau, nikaitwa kwenye interview May 2012. Hata post yenyewe nlikuwa siikumbuki tena, ikabidi nigugo, lol. Be patient