Integrity of courts in Tanzania

KARAMAG

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
63
Reaction score
74
Tunaofanya kazi mahakamani, tunachoshwa na usanii huu. Huyu kijana katolewa, kamwacha Mwenzake kwa kipi hasa na huko alikopelekwa ni wapi, baadaye sisi tuanze kualaumiana. Binafsi naona kama DPP anadhalilika katika hili lakini ndo kunaonyesha nchi yetu inakoenda. Polisi wanatumia hadi mahakama kwa manufaa gani? kesi waliyofikisha mahakamani, wanaendaje kutoa mtu bila ruhusa toka kwa DPP? walipeleleza wakamaliza, wamepeleka kwa DPP, wamerudi tena kuja kuharibu wanavyotaka, na hakimu huyu aliyekataa siku ile, leo analazimisha mihuri itoke atumie kumtoa mahabusu kabla ya tarehe. Angalia
 

Attachments

  • court.jpg
    161 KB · Views: 194
  • court 001.jpg
    219.1 KB · Views: 183
Haya ni madhara ya polisi kuacha kutumia uweledi wao na kutumiwa kisiasa. Hii kesi wamekubali kutumiwa sana kisiasa ndo maana unaona wanajaribu kufanya mambo katika 11th hour! Sio wote wanaopenda wanayofanyika, so tunaamini wapo watakaosimama kwenye ukweli na weledi. UKWELI DAIMA HUJITENGA NA UONGO.
 
Ndo maana tunasema katiba mpya iweke clear demarcation ya mihimili mikuu ya dola; kwa hali ilivyo kwa sasa Serikali ya Kikwete inaliburuza Bunge na Mahakama kwa manufaa ya chama TWAWALA; Take it from me, mwisho wa hii michezo ya kuigiza hautakuwa mzuri.
 
mwisho wa ubaya ni aibu. cheki sasa mlivyoaibika. nyie mlifikiri mtadumu milele na uovu wenu? mungu awaonyeshe njia ya kweli na sio hii ya utekaji. haya mnayoyaona ni MATUNDA ya kazi ya mikono yenu. kwahiyo acheni kulalamika. na mkiendelea si ajabu mungu akawashushia laana.
 

Kitu unachokisema kinaitwa separation of power..katika mihimili mitatu executive, judiciary na parliament ukweli ni huu clear separation haiwezekani maaana ukiseparate vyote na kila mtu akafanya vitu kivyake matokeo yake everything will come to a stand still..mf..mahakama ime order mtu akakamatwe na police wanakataa kwa sababu zao..separation ipo sema kila organ lazi i operate in form of checks and balances..moja inaichek nyingine then inabalance power iliyopewa from one organ to another...over...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…