Intelijensia ya CHADEMA imefia wapi hadi wanachama wao wanaapishwa Ubunge viongozi hawana taarifa?

Wewe ndo hukuwa na taarifa Kama intelejensia ya Chadema ilifahamu Kuna watu wanaenda kuapishwa
 
Umeyaona matusi uliyotukana au unadhani nazungumzia nini?Sijazungumzia itikadi yako bali matusi yako ya nguoni!
 
mimi nitakushindilia mipini kuliko mumeo
siwezi kujibizana na msungo kama wewe,
Nb:ukibishana na mpumbavu ,mtaonekana wapumbavu wote.so huo ujinga sina, coz saivi hapa jf max karuhusu la saba kuja kuharibu jukwaa😡😠
 
ulitaka wavuliwe kabla ya kutenda kosa ili mpate sababu ya kuinanga chadema?
Intelijensia nzuri ni kuzuia kabla tukio halijafanyika na kuleta madhara. CHADEMA wao wanasubiri kuvua watu uanachama tena bila kuwasikiliza. Nahurumia wanaoshabikia CHADEMA
 
Intelijensia waipate wapi ? Hao ni kushinda mitandaoni tu kujifariji kwa kipigo walichopata kwenye uchaguzi uliopita
 

Intelligensia ya serikali imefia wapi mpaka wanafunzi wanapewa mimba hawajui? Yani swali unalouliza ni sawa na hili!!!!
 
Ya Chadema,hata ikiwa hovyo,haiongozi nchi,
Jiulize Intelligensia ya nchi chini ya ccm hii,imefia wapi mpaka skandali za wizi wa kutosha zinatokea,ilikuwa wapi wakati wa EPA,Richmond,Escrow,ilikuwa wapi Mbunge anapigwa risasi 18,bungeni mchana kweupeee,ipo wapi mpaka leo Kuna waharifu imeshindwa kuwatambua,"wasiojurikana,"Hawa wanaua,wanateka,wanaweka watu kwenye viroba
 
Mkuu, walitubabatiza wakati tukiwa kwenye harakati za kutafuta balozi za kukimbilia kujificha wakatu-outsmart na ku-take advantage. Si unajua wakati huo habari ya mujini ilikuwa ni kujificha ubalozini na kuomba hifadhi 😂😂😂
 
Bwashee hiz ni zama ambazo kila kilichofikiriwa kutowezekana kinawezekana, ukijumlisha na urugaruga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…