Intelijensia ya Marekani bado wako juu sana

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,572
Kiukweli Intellijensia ya Marekani wako makini sana.

Kuna gaidi mmoja wa ISIS alijipiga selfie mbele ya makao makuu yao alafu akaituma kwenye Social Media.Baada ya muda mfupi jamaa wa Intelijensi ambao wanamonitor accounts zote za ISIS members na mashabiki wao wakaiona na kupinpoint hilo eneo mpaka kugundua kuwa ni makao makuu ya ISIS Syria, baada ya masaa 22 jengo lote likawa majivu.

 
Yaaani hivyo tu ulivyoandika Kila kitu tayari
 
Makao makuu imelipuliwa kakini bado tutasikia wanaendelea kuteka miji.
 
Hakuna maana ya kulipua hayo makao makuu wakati bado anawapatia mafunzo na silaha
 
Hakuna maana ya kulipua hayo makao makuu wakati bado anawapatia mafunzo na silaha

Ivi unajua chimbuko la isis wew?...au umekaririshw story za uko madrasa af unaleta humu...
Embu naomba lete picha ya mpiganaji wa isis alieshika bunduki ya kimarekani(m16)....
 
Hayo yako ila mda mwengine ni media tu Caz Hio hq mda mwengine makachelo Kibao
 
Kitu ambacho hukijui ni kwamba picha mnazopiga zinaonesha details zote za hiyo picha! Kuanzia location, model ya camera etc!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…