Intelijensia za Juu,Elimu za Juu na Nguvu za Giza.

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara watu wakipondea au kushalow watu wasomi ambao bado wana amini katika nguvu za giza, wakiwa na factor pekee ya ukiwa msomi basi umefunguka fikra hutakiwi kuamini tena katika hizo nguvu.

Ila uhalisia ni kwamba elimu zote na technolojia zote za hali ya juu tulizonazo zimebuniwa kwanza huko kuzimu ndio zikaja duniani. Mwl wangu wa Physics alikwisha niambia hata wanamuziki baadhi nguli ambao nyimbo zao zinahit wamekuwa na tabia ya kubarikiwa nyimbo zao huko kuzimu ili zikipigwa duniani ziwe hit songs yaani zivutie!

Binafsi Nikipata Nafasi ya kujiunga na Taasisi hizo za elimu ya Juu hasa za Nguvu za Giza ningependa Kujiunga.....Nataka Nijifunze Mengi.

Elimu ys juu ns sayansi hauwezi kuzitenganisha na Nguvu za Giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…