Intelligence is more Patriotic than professional

jovitha mussa

Member
Joined
May 2, 2012
Posts
75
Reaction score
35
kazi ya ujasusi haitofautiani sana na kazi za kiroho, ndiyo maana jasusi anapokosa uzalendo anatakiwa kuacha kazi bila kujali ana uwezo kiasi gani katika tasnia hiyo.

kama ilivyo kazi ya Upadre, mtu mwenye imani ya kweli ya kiroho ndiye Padre mzuri bila kujali uwezo
wake katika fani ya upadre.

ndiyo maana mtumishi wa kiroho au ujasusi hawezi kwenda mahakamani kudai ajira yake kama ameachishwa kwa namna yoyote tofauti na kazi nyingne.

hii ni kwa sababu kama huna roho ya kiimani au uzalendo unaweza ukapotosha Taifa au waumini kwani tayari una dosari katika nafsi. hvyo ukibainika na dosari linalohusiana na itikadi au imani utapaswa kuacha kazi hiyo.

JAMBO LA MSINGI jasusi au padre ambao msingi wao ni imani au uzalendo wanapaswa kujengewa misingi ya kuamini dini au Taifa ni la kwake. ni kosa jasus kuhisi Taifa hili ni la kundi au watu flani na yeye si mmoja wao. hali kadhalika kwa padre hapaswi kuona kuwa dini ni ya watu flan au kundi flani la watu. wote hawa wanapaswa kujengwa na kujisikia wapo katika wigo wanaoufanyia kazi.

ukiona Padre analalamikia dini, lazma Papa ajiangalie kama kakosea, kama yupo sahihi Papa amtimue kaz Padre haraka, na kama Papa kuna mahali ameteleza arekebishe ili kumpa imani Padre wake. hali kadhalika kwa majasusi wote dunian na tawala za Mataifa yao.

regards to JF
 

So, hapa tujadili nini? Or what is the issue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…