wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,544
Alshabab imeshafanya mashambulizi ndani ya taifa la kenya zaidi ya mara 130 na yote yalifanikiwa,Kenya taifa lililochokozwa na magaidi shetani ya alshabab hatimae likaamua kuwavamia bila tahadhari limejikuta kila siku likiomboleza misiba ya kijinga inayotokana na poor intelligence,haiwezekani taifa linalojijua fika kuwa linaandamwa na magaidi halafu basi linasafiri maili nyingi msituni bila ulinzi wowote,matokeo yake watu 28 wanauliwa kikatili,Tanzania wakati tukifanya kampeni kuikomboa SA makaburu wengi walikamatwa wakijaribu kutu sabotage,lakini sasa hivi TISS inafanya kazi kuilinda ccm usiku na mchana ili iendelee kutawala,pia kulifilisi taifa kwa issues za IPTL/EPA/ESCROW kuiba wanyama wetu na n.k,TISS inatumia ufanisi wake ktk kuhakikisha watanzania tunakufa njaa kwa kutufilisi kila tulichopewa na MUNGU,TISS sasa ni hatari kwa watanzania wote,inatumika kama ngao dhidi ya u.she.nz wa kutisha tunaofanyiwa na haya ma vampire ccm,ila ipo siku,kila jambo lina mwisho.