Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
AC Milan waliutawala mpira kwa kipindi kirefu, huku wakigonga pasi na skills za ajabu...
Lakini mwisho wa mechi ''kunguru kanyea manati''...
Inter 2-0 Milan.
AC Milan bado wana nafasi kubwa ya kunyakuwa ubingwa wa scudetto ukizingatia still wana mechi moja mkononi na ndio kwanza duru la lala salama limeanza.
Forza Milan
Sahau kwa AC MILAN kuchukua ushindi kadri siku zinavyozidi kwenda na mechi kuchezwa na gap ndo linazidi kuonekana.
Waliutawala mpira upi? Binafsi naona walizidiwa saana licha ya kuwa jamaa walicheza wakiwa pungufu. Hawakufanya mashambulizi ya maana mengi! Naamini hawawezi kuwa mabingwa licha ya kuwa wanamajina makubwa mengiAC Milan waliutawala mpira kwa kipindi kirefu, huku wakigonga pasi na skills za ajabu...
Lakini mwisho wa mechi ''kunguru kanyea manati''...
Inter 2-0 Milan.
AC Milan bado wana nafasi kubwa ya kunyakuwa ubingwa wa scudetto ukizingatia still wana mechi moja mkononi na ndio kwanza duru la lala salama limeanza.
Forza Milan
Waliutawala mpira upi? Binafsi naona walizidiwa saana licha ya kuwa jamaa walicheza wakiwa pungufu. Hawakufanya mashambulizi ya maana mengi! Naamini hawawezi kuwa mabingwa licha ya kuwa wanamajina makubwa mengi
Rossoneri bye bye scudetto.
Morinho anasema hata wangecheza 7 wangeshinda tu
Wakati ligi inaanza mkatabiri rossoneri kushuka daraja.
Walitoka nafasi ya 17 mpk nafasi ya pili huku wakimpa jambajamba mzee wa mipasho.
tulia sheikh...ile sio ligi ya Bongo.
Ile ni Italian serie A
Nezzazuri wanapaa mjomba, na the way things are at the moment wana GD 26 Rossoneri wana 14 na six point deficit zikiwa zimesalia duru 17. Hii ni unprecedented fifth back-to-back Scudetto kwa FC Internazionale Milan.