Inter Milan wamtimua Ranieri

Inter Milan wamtimua Ranieri

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Inter Milan wamemtimua kocha wao Claudio Ranieri baada ya kushinda mechi moja kati ya 10 za ligi. Hapa tunajua wazi nani anaenda kuchukua hiyo nafasi: Andre Villas-Boas
 
bado Juve kumtimua Conte...
Mwaka huu tutajionea mengi yailah...
 
conte hawezi timuliwa juventus...jana alionyesha tactical understanding ya hali ya juu...where as ranieri alikuwa kazubaa tuu not knowing wat to do to hell his side.
kocha wa juniour team ndio amechukuwa mikoba
 
Back
Top Bottom