huncho musiom
New Member
- Dec 19, 2020
- 3
- 1
Umejuaje kama anahusina na Ardhi?nimekutumia namba ya staff mmoja hapo ardhi university.... ingia inbox
wewe mpigie ujitambulishe then uulize mimi hata sasa naweza enda onana nae ni secretary wa mkuu wa idara ya masomo ya undergraduate wewe mpigie muulize niamini mimi .Umejuaje kama anahusina na Ardhi?
hiyo tag hapo juu mbona UME KI TAG CHUO KIKUU ARDHI vp au nmekosea ???Umejuaje kama anahusina na Ardhi?