Interbank transaction

Interbank transaction

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Wadau, habari zenu?
Ni bank gani hapa Tz inaweza kumkopesha mtu kupitia salary yake ambayo inapitia bank nyingine ambako mtu ana mkopo?

Mfano:
Salary inapitia bank A
Net salary ni 8M
Loan deduction at bank A ni 3M
Balance in Account: 5M

Ni bank gani inaweza kukopesha kwa kutumia hiyo 5M inayobaki kwa maana kwamba ikawa inakatwa 2M kila mwz toka ktk Account iliyopo bank A na kuwa transferred kwenda bank B kama loan deduction for bank B?

Nimesema hivyo nikiwa najua kuwa financial institutions hazitakiwi kukata zaidi ya 40% ya net balance ya mtu.

Au hiyo kitu haipo ktk banks?
 
Mkuu kwani ukienda kukopa hiyo mfano banki B si utatumia salary slip hiyo hiyo ambayo tayari inaonesha umeshakatwa 40% kwenye banki A?maana nijuavyo mimi salary slip huwandika taarifa zako zote zinazohusu mshahara wako, kama ni hivyyo kwanini usipamdanishe mkopo kwenye banki hiyo hiyo A, ninachojua mimi huwa ni rahisi kwa banki B kununua mkopo wako kutoka banki A wakiona kama watapata faida kwako, ila ndio hivyo lazima ukubali kuumia zaidi.
 
Salary slip inatolewa na mwajiri na huonesha makato ya aina yote, isipokuwa makato ya bank kwako ambapo salary inapitishwa -makato yataoneshwa kwenye bank statement yako, siyo salry slip. Bank A haiwezi kukata zaidi ya 40% ya pesa yako inayoingia kwenye Account yako. Kwa hiyo hawawezi kukata zaidi ya 3.2M. Hata bank B wakiununua mkopo hawawezi kukata zaidi ya 3.2M (kwa hiyo nitakuwa nimefanya nini zaidi ya kuwa nimeanzisha mkopo upya, kitu ambacho naweza kufanya top up ktk bank A?)

Lengo ni hiyo bank B ikopeshe kwa kutumia 5M kama net, siyo kwa kutumia 8M kama net in account huku bank A nikiendelea nayo
 
Mkuu nakushauri kama una kabiashara uchwara ambako kanaingiza unaweza kukatumia kama collateral yako. Unafungua account ingine benki ingine kisha wakati Bank A inapitisha salary then wanakata mkopo wao yaani 8m imeingia wamekata 3m then inabaki 5m. Chukua hiyo 5m kaideposit bank B kisha waambie hayo ni marejesho ya biashara yako (lets say for example una Mpesa kibanda na Tigo pesa ili jamaa wawe convinced) then kwa huo mkopo wa benki B wakikata lets say 2m unabakiwa na 3m maisha yanaendelea. The tricky part iko kwenye kuhamisha masalio kila mshahara unapoingia bank A na kukatwa unachukua remainder theorem unapeleka bank B yote.
My take
 
Back
Top Bottom