Salary slip inatolewa na mwajiri na huonesha makato ya aina yote, isipokuwa makato ya bank kwako ambapo salary inapitishwa -makato yataoneshwa kwenye bank statement yako, siyo salry slip. Bank A haiwezi kukata zaidi ya 40% ya pesa yako inayoingia kwenye Account yako. Kwa hiyo hawawezi kukata zaidi ya 3.2M. Hata bank B wakiununua mkopo hawawezi kukata zaidi ya 3.2M (kwa hiyo nitakuwa nimefanya nini zaidi ya kuwa nimeanzisha mkopo upya, kitu ambacho naweza kufanya top up ktk bank A?)
Lengo ni hiyo bank B ikopeshe kwa kutumia 5M kama net, siyo kwa kutumia 8M kama net in account huku bank A nikiendelea nayo