Ndugu wanasheria,
Naomba msaada wa kujuzwa kuhusu hili,
Kuna mkopo ulikopwa wa thamani ya Millioni 7 kutoka benki, baada ya hapo kulitokea utata katika malipo ya mkopo , mkopaji akaenda mahakamani wakati anaenda mahakamani kutokana na riba deni likafikia Millioni 13. Kesi imekaa mahamani kwa miaka 10 mapaka . Je kisheria deni la mkopo huu kwa sasa ni sh Millioni 7 au Sh Millioni 13 au ni Sh Millioni 13 Jumlisha na interest ya miaka yote 10 ya kesi kuwa mahakamani?
Natanguliza Shukrani kwa ufafanuzi wenu.