"The USA does not like to give money to people that steal money" US government thinking about the tax payer?? Wanajf im beginning to think bush knew a lito something about our fallen ministers leading to the reshuffle (Hamna cha richmond wala BOT??)...what do you guys think??
Kapinga,
Nimeona ktk BBC Bush akijibu swali hilo baada ya kupokea baadhi ya maswali... sasa sielewi huyo muulizaji yamemkuta yapi?...kilichoniudhi ni kuwa main topic limekuwa swala la Kenya na Kosovo yaani Bush anazungumzia maswala haya akiwa Tz.
Hata hivyo imesemekana tunapewa kitu kama millioni 700 zaidi kidogo ya fedha zilizojenga Benki Kuu (million 500) kwa hesabu za Wadanganyika.
Hapana Bwana; ni mia sita na ushee; sio mia saba' kwa miaka mitano.Mkandara, it is US Dollar 700Million (>700Billion TSHS) in a period of five years.
Hapana Bwana; ni mia sita na ushee; sio mia saba' kwa miaka mitano.
Kenya wao hupata billion moja kila mwaka!
Hapana Bwana; ni mia sita na ushee; sio mia saba' kwa miaka mitano.
Kenya wao hupata billion moja kila mwaka!
Tanzania imepata $698 millioni, sawa na Tsh 830 bilioni hivi kwa miaka mitano ijayo.
Hapana Bwana; ni mia sita na ushee; sio mia saba' kwa miaka mitano.
Kenya wao hupata billion moja kila mwaka!
Hizi tumepewa au tumekopeshwa?
haya ni malipo ya kutangulizwa (down payment) ya kitu kikubwa ambacho Marekani inataka kununua hapo bongo...