Nimefanya simple research nikaona kuwa - Intergovernmental Agreements (IGAs) na Host Government Agreements (HGAs), zina template maalum ambayo mabeberu waliitengeneza kulinda maslahi yao na kuiba mali za developing world. Nimesoma mikataba iliyopo kwenye google nikagundua format hiyo iko kila mkataba.
Ukisoma mikataba mingi ya uwekezaji wa kutoka Developed countries ambazo zinatafuta mali asili ya Africa, yote imeandikwa kwa format moja with same wording.
Katika kuandika template hizo of course hawakuwashirikisha wenye mali za asili wanazozihitaji na hivyo kuwa mitakata ya hovyo kwa upande wa waafrika na third world zingine.
Kama alivyosema Prof shivji, zinatoa wajibu kwa nchi za third world na wao kuwa na all rights
Nini kifanyike:
Ni nchi za dunia ya tatu kuwaita mabeberu na kuwalazimisha kupitia upya na kubadirisha format/mikataba hiyo kandamizi.