Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Habari wakuu, Swala la kupenda gari na kutunza ni kipaji ambacho watu wachache wamejaaliwa hii unaikuta kwamba magari ya aina moja yalioagaizwa mwaka mmoja limoja linakua linamuonekano mzuri kuliko lingine na hii inatokana na utunzaji tulivyotofautiana.
Siku ya leo tujadili vitu ambavyo unaweza kuweka/umeweka ikafanya gari lionekane na muonekano wa kitofauti na kulipa thamani ya juu.
Dashcam
Hii inasiasaidia sana pale ajali inapotokea kuweza kuwasaidia Polisi na hata Bima kujua usalama na mwenendo wa chombo pia kisababaishi cha ajali pale inapotokea kwa kurekodi matukio yote.
Crystal Gear Knob
Hizi gear lever zinapendezesha gari kwa maana ukizigusa tu zinatoa mwanga flan inapendezesha gari kulingana na logo iliyopo.