Hivi kweli itawezekana kujenga international Airports 4 katika mikaka 5 ijayo,wakati nchi ina matatizo lukuki ya miundo mbinu yake yote ya zamani ambayo inahitaji ukarabati na mipya iliyoko na isiyo kuwepo kwenye makaratasi?,Ina Maana sisi watanzania wote ni ma zombie kuitikia ndio MZEE!?