International Correspondence Schools

Mama Joe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,504
Reaction score
840
Wakuu habari zenu,
niliwahi kusoma kozi mbalimbali miaka ya nyuma kupitia hawa watu ila kipindi hicho ilikuwa kwa njia ya posta.
sasa nilikuwa nataka kijana wangu asome tena na niliambiwa wako hapa Dar pia, najaribu ku google napata majibu siyo
kuna yoyote mwenye taarifa sahihi wako wapi hawa maana ni wazuri kwa mtu anayesomea kwa wakati wake nyumbani, Au wowote ambao wanafundisha kwa syllabus na mitihani ya Cambridge
Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…