International Democratic Union yatoa maazimio kuhusu Tanzania

Mmechelewa misaada imeisha anza kutolewa. Mataifa yameishanza kumtambua kama Rais halali aliyechaguliwa kuhalali. Anapongezwa kwa ushindi mkubwa na wanamtakia kila la kheri katika kulijenga taifa lake na wanaahidi kushirikiana naye. TAMKO HALINA MADHARA WALA IMPACT YOYOTE KWA TANZANIA. ENDELEENI KIJIFARIJI WENYEWE
 
Kwani wameambiwa tunawahitaji?
Watanzania wamekataa chadema, wao wanalazimisha nini?
Kwani wapinzani ni chadema pekee?
Ushoga tulishaukataa, kama pesa yao wake nazo!
Mbona jana EU imeimwagia hela Tanzania, IDU ndiyo nini Bwana!
 
Utasubiri mpaka mwisho wako wa kuishi hapa duniani
 
Hivi nyie nyumbu kwanini wagumu hivi kujifunza? Hapa hakuna kitu hizi ni kelele za mkosaji na hazina madhara yoyote. Zitafifia na miaka 5 itaisha kwa kishindo kikubwa. Fuatilieni huko, EU na IMF watakavyomwaga pesa TZ bila kumsahau mchina aliyetoa ahadi kumalizia miradi yote mikubwa ikiwemo bwawa la Nyerere.
 
Gwajima alisema vizuri mno
Japokuwa sijawahi kusapoti uaskofu wake lakini ile hekima kuwa ukiwa unapeleka gari yako kwa spidi huwezi kusimama mara kwa mara kumrushia mawe mbwa aliye pembeni mwa barabara akikubwekea
 

You’re very right my brother.
 
Haya maazimio ni dua la kuku tu kwani wao siyo neutral player kwenye politics za Tanzania achilia mbali politics za dunia nzima. IDU ni shirikisho la vyama vya kiconservative, ikiwa na lengo la kusaidia vyama vyao viwe madarakani; hawatambuliwi na jumuia yoyote ya umoja wa mataifa. Wao hupiga kelele tu wakati chama chao kinaposhindwa, na iwapo kikishinda wanafurahi na kukaa kimya hata kama njia iliyotumika kupatia ushindi ni haramu.


Kwa hapa Tanzania mshirika wao ni CHADEMA; kwa hiyo hawawezi kuwa mameneja wa timu moja halafu wakawa marefarii wakati timu yao hiyo inapocheza na timu nyingine.




Mwaka 2017 kwenye uchaguzi wa Hoduras kulikuwa na ukiukwaji mkubwa sana wa taratibu za usimamizi wa upigaji na kuhesabu kura hadi kusababisha vurugu sana mitaani lakini hawa IDU hawakusema kitu kwa sababu chama chao ambacho ndicho kilikuwa madarakanai wakati huo ndicho pia kilichovuraga uchaguzi ule na kikabaki madarakani, IDU ikafurahi. Nadhani chama chao kinapokuwa madarakani wao IDU hupata kitu fulani

 
Kwa nini hawa IDU wakazanie Chadema tu! What is unique with them. Mbona kuna vyama vingi vya upinzani vyenye mlengo wao. Mbona hawavisemei.
 
Unajenga nchi wewe!!!
 
Ugali bado wa Moto kabisa
 
Kwa nini hawa IDU wakazanie Chadema tu! What is unique with them. Mbona kuna vyama vingi vya upinzani vyenye mlengo wao. Mbona hawavisemei.
Kwa nini vyama vya kikomunist/kisoshalist viisaidie CCM tu,kwani hakuna vyama vingine Tanzannia?
 
Rather, the development assistance should be redesigned to assist civil society organizations that promote and protect human rights and democratization.
Niliweka uzi humu kuwa fedha ambazo zinalipwa kwenye Bunge na wafadhiri ambazo kigezo kimojawapo ni kuwepo wapinzani bungeni, ziende kwenye kuimrisha upinzani, JF wakaufuta huo uzi! Sasa wenye "akili" wamerudia hay hayo. Ukiweka sense wanafuta, ukiweka ujinga wanaacha.... poor JF!
 
Nitaisoma nikitulia kwa raha zangu
 
Hao idu ni Nani hata waiamrishe nchi yetu??Wapite kushoto na waachane kabisa na mambo yetu.Tanzania ni nchi huru na yenye mamlaka kamili kuamua mambo yake.Uchaguzi umeisha na serikali imeshaudwa na kilichobaki ni kuchapa kazi.Chadema chadema chadema all the time.What is chadema??Sisi hatuitaki na huyo shoga aliyetumwa kuvuruga Amani ya nchi hii.Tafadhali tuheshimiane.Endeleeni kumdanganya na hizo bulb lakini huku ni kazi tu.
 
Daylight robbery kwenye uchaguzi , walifikiri hawatambuliki ,kumbe dunia nzima inajua kila kilichofanyika
 
Does The International Democrat Union know the politics of Tanzania? Does it know that in Tanzania there are more than 10 political parties? Then, how come the know/talk of CHADEMA only! I think this organisation is fake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…