International friendly LIVE: France vs USA

International friendly LIVE: France vs USA

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Game inataka kuanza hapa Stade de France, more updates to come.
 
Msiwe wavivu wa kutafuta, google france vs usa live steaming, mimi nipo kwenye rununu, siwezi toa link.
 
Dakika ya 11, game bado ni ya kawaida sana, mashambulizi ni ya kushtukizana. kwa wenye dstv ss5 inarusha live!
 
Mathieu anapaisha hapa, good pas it was from benzema!
 
client dempsey ameumizwa na diarra hapa!
 
les bleus wanajitahidi kufanya mashambulizi, usa wako makini sana!
 
Altidore anakuwa mchungu kwa france hapa, anawapa shida sana koschielny na rami.
 
franc ribery amekosa goli, naona alitaka kufunga ki-baloteli.
 
Menez anakosa goli, alipata pasi safi toka kwa ribery.
 
Dakika ya 39, mpira bado haujatulia, ni mwendo wa pasi ndefu na ubabe mwingi.
 
remy anaifungia bleus super finish. One nil france
 
full time here in paris, france 1 usa 0!
 
Back
Top Bottom