International School vs Good conduct

International School vs Good conduct

Patriot3

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
336
Reaction score
553
Kuna uhusiano gani kati hizi international schools na tabia ya mtoto?

99% ya watoto ninaowajua they are bad mannered,at least by our local standards of good conduct.
 
Huko hakuna kuonywa wala adhabu ndogo ndogo... haki za mtoto zinazingatiwa...matokeo yake product inayozalishwa inakuwa lege lege na nyoro nyoro.
 
Umekutana na wangapi mkuu,au umesoma hizo shule??ulio kutana nao hao 99% ulikutana nao wapi??club,football ground, chuo,kwenye kahawa library or wapi...
 
Umekutana na wangapi mkuu,au umesoma hizo shule??ulio kutana nao hao 99% ulikutana nao wapi??club,football ground, chuo,kwenye kahawa library or wapi...
Ni watoto tu wanaosoma huko. Nina project nafanya na watoto. Hawa wa international are difficult and so much entitled.
 
Back
Top Bottom