Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Jan 29, 2014 #1 Jamani natafuta shule ya international school kwa ajili ya watoto wangu iliyopo jiji la Mbeya yenye kutumia IB or CIE curriculum kwa kufundishia. Naomba usaidizi wenu kwa yeyote mwenye kujua msaada tafadhalini.
Jamani natafuta shule ya international school kwa ajili ya watoto wangu iliyopo jiji la Mbeya yenye kutumia IB or CIE curriculum kwa kufundishia. Naomba usaidizi wenu kwa yeyote mwenye kujua msaada tafadhalini.