International schools za ada nafuu Dar

International schools za ada nafuu Dar

Joined
Nov 25, 2020
Posts
73
Reaction score
170
Habari!

Naomba kifahamishwa majina, sehemu na kiwango cha ada kwa shule za msingi zinazofuata mtaala wa kimataifa (international Schools) zenye ada ya kawaida. Sihitaji hizi IST n.k

Shukran!
 
Sh

Kwanza fahanu tofauti ya International schools na english medium schools..
Kwa kifupi international schools zipo chache ndani ndio IST, LAURREATE n.k
 
Habari!

Naomba kifahamishwa majina, sehemu na kiwango cha ada kwa shule za msingi zinazofuata mtaala wa kimataifa (international Schools) zenye ada ya kawaida. Sihitaji hizi IST n.k

Shukran!
Ada ya kawaida kama shilingi ngapi?

Hakuna international school yenye ada chini ya milioni 20 .
 
Kuna shule ipo hapa mbagala.kilungule inaitwa MNONDWA INTERNATIONAL SCHOOL ada laki 9 kwa day vp unahitaji
 
Nenda Academic intrn school mikocheni kidogo pale kuna afadhali
 
Back
Top Bottom