Twenty Twenty One
Member
- Nov 25, 2020
- 73
- 170
Habari!
Naomba kifahamishwa majina, sehemu na kiwango cha ada kwa shule za msingi zinazofuata mtaala wa kimataifa (international Schools) zenye ada ya kawaida. Sihitaji hizi IST n.k
Sh
Kwanza fahanu tofauti ya International schools na english medium schools..Habari!
Naomba kifahamishwa majina, sehemu na kiwango cha ada kwa shule za msingi zinazofuata mtaala wa kimataifa (international Schools) zenye ada ya kawaida. Sihitaji hizi IST n.k
Shukran!
Ada ya kawaida kama shilingi ngapi?Habari!
Naomba kifahamishwa majina, sehemu na kiwango cha ada kwa shule za msingi zinazofuata mtaala wa kimataifa (international Schools) zenye ada ya kawaida. Sihitaji hizi IST n.k
Shukran!
Nadhani hii reply imeshaupasua moyo wake.[emoji1][emoji1][emoji1]Ada ya kawaida kama shilingi ngapi?
Hakuna international school yenye ada chini ya milioni 20 .
Inatumia mtaala upi[emoji848][emoji848][emoji848]Kuna shule ipo hapa mbagala.kilungule inaitwa MNONDWA INTERNATIONAL SCHOOL ada laki 9 kwa day vp unahitaji