Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,286 Reaction score 4,523 Mar 8, 2009 #1 Jamani nawatakia kila laheri wanawake wote kwenye siku yao ya kuwakumbuka wakina mama duniani..wadada wa JF nawatakia kila lililojema Mzee Masa
Jamani nawatakia kila laheri wanawake wote kwenye siku yao ya kuwakumbuka wakina mama duniani..wadada wa JF nawatakia kila lililojema Mzee Masa
M Morani75 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2007 Posts 613 Reaction score 19 Mar 8, 2009 #2 Masanilo, naomba kuungana nawe na wanajamvi wenzangu kuwatakia mama, dada, wake, ndugu, na wakina mama wote heri ya siku ya wanawake duniani!!
Masanilo, naomba kuungana nawe na wanajamvi wenzangu kuwatakia mama, dada, wake, ndugu, na wakina mama wote heri ya siku ya wanawake duniani!!
bm21 JF-Expert Member Joined May 12, 2008 Posts 774 Reaction score 36 Mar 9, 2009 #3 Hongereni kina mama nami nawatakia kila la kheri. Ninaswali pia, Masanilo........ sijawahi sikia siku ya kinababa. Hivi kuna siku ya wanaume au chama cha wanaume? au ndio mfumo jike?
Hongereni kina mama nami nawatakia kila la kheri. Ninaswali pia, Masanilo........ sijawahi sikia siku ya kinababa. Hivi kuna siku ya wanaume au chama cha wanaume? au ndio mfumo jike?