Wadau wa Jf, samahani nimekuwa nikiona matangazo ya gharama za internet ila bado sijaelewa kipimo chake. Unaweza ukaona gharama ni sh 300/MB wengine 125/MB. Je nitajuaje kuwa website ninayotembelea itakula MB ngapi? Samahani mimi ni mweupe kwenye mambo ya IT ingawa natumia internet ila sijui hivyo vipimo. Please educate me on this. Thank you
Mkuu,
Kuhusu "internet bundles" ni kwamba kunakuja package nzima ambalo linajumuisha internet, simu ya ndani na TV ambapo minimum speed ya internet itakuwa 8Mbps na maximum itakuwa kati ya 16Mbps na hadi 2Gb na zaidi.
Pia kuna kitu kinaitwa bandwith ambapo mtiririko wa information kuja kwenye PC yako uwapo online unapimwa speed yake kulingana na muda uliopewa katika line hio ya simu. Kama dowloading ni unlimited basi utaifaidi kujaza mambo lakini kama una limited access kutokana na Mbps speed basi utakuwa na muda mfupi ku-download.
Sasa ukiondoa hayo mambo ya bundles unaweza kuwa na broadband pake yake ambayo kwa mfano unaweza kutumia wireless router au cable ambayo inaweza kuwa na unlimited downloading katika muda wowote.
Ila ukumbuke kwamba uwingi wa watu wenye mahitaji ya kudownload unasababisha sana kupunguza speed ya delivery ya information unayohitaji.
Kuhusu swali lako kwamba utajuaje kwamba website unayotembelea inakulaje Mb, naona wewe hupaswi kujua hilo kwani ni jukumu la wenye hio website kujua jambo hilo, sanasana wao watataka kujua habits zako wewe unaetembelea hio website na ni kitu gani unakuwa na interest nacho sana.
Nafikiri ntakuwa nimekupa angalau mwanga kidogo.
Mkuu naona haupo Tanzania!! Huku matatizo yetu tofauti kabisa, utakuwa unamchangaya mwanzisha mada!
Bundle = Megabyte unazoruhusiwa kuzitumia kwa kipindi fulani e.g 2Gb kwa mwezi.
Mkuu naona haupo Tanzania!! Huku matatizo yetu tofauti kabisa, utakuwa unamchangaya mwanzisha mada!
Bundle = Megabyte unazoruhusiwa kuzitumia kwa kipindi fulani e.g 2Gb kwa mwezi.
Ya hili nimeliona na mimi Zantel UNLIMITED kumbe ni 3Gb.Ehh. Hapo umenena ..Nakubaliana nawewe mkuu . Matatizo yetu ni tofauti kabisa.
On that note, haya makampuni yana changia kutuchanganya sisi kama watumiaji. How can they advertise unlimited download or unlimited internet but they only give us 2GB or 3GB. That is not unlimited !
I think there is some SERIOUS misleading advertising practiced. Someone ought to look into this.
BUYER BEWARE
Vodacom wanacharge tsh 250/= 1 mb.Naskushauri utumie zantel gharama zao ni nafuu kidogo wao ni tsh 120 /= 1 mb.Wadau nashukuru atleast nimepata ka mwanga kidogo. Kang nathamini sana mchango wako. Umenifungua kiaina. Mimi natumia simu ya mkononi ku connect kwenye net through USb cable ila inakula sana sijui ni huu mtandao wa voda uko expensive au ni vipi.
Vodacom wanacharge tsh 250/= 1 mb.Naskushauri utumie zantel gharama zao ni nafuu kidogo wao ni tsh 120 /= 1 mb.