Internet cafe vp??

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Ebwana habarini wakuu, kutokana na ugumu wa ajira nimeamua nijaribu kufungua internet cafe hapa singida mjini, vp inaweza kunilipa hii biashara kwa nyie wazoefu.
 
Itaweza kukulipa kama utakuwa bora kuliko waliokutangulia.mimi ni mteja mzuri wa hizo i cafe nipo Dar kuna mambo machache naweza kuyaongelea kama mteja mzoefu
(1) speed. hakikisha internet yako inakasi kubwa.ikiwezekana kuliko za hao washindani wako.
(2) wepesi wa kufamfanyia mteja huduma zinginr mfano kuprint.kuscan hata web camera ziwepo bila kusahau headphones kwa kila pc.
(3)uwemwepesi kutoa msaada kwa mteja anapokwama kwenye kipengele asichokifahamu.
(4)Tafuta genereta ili ku back up umeme wa Tanesco unapokatika.
(5)mwisho uwe na lugha nzuri kwa wateja tabasamu lisikosekane huku ukiwaambia karibu tena
Mambo hayo ni muhimu kuyafuata ili cafe yako ikulipe kumbuka kutokana na ujio wa smart phone za bei rahisi watu wanamalizia mambo yao kwenye simu.so unahitaji kuifanya internet yako kuwa exceptional ili iweze kukulipa asante kwa kusoma mchango wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…